Ukiwa msanii kwenye ulimwengu wa leo ambao kiki ni sehemu
ya kachumbari ya showbiz, ni lazima ukubali yote – hata kuvua nguo
kwaajili ya picha.
Msanii wa Nigeria, Flavour amefanya kile ambacho tumekuwa tukikiona
kikifanywa na wasanii wa Marekani tu na tena wa kike, kupiga picha za
nusu utupu na kuweka hadharani.
Kwenye picha hiyo Flavour anaonekana amekaa kwenye jacuzzi akiwa kama
alivyozaliwa huku gitaa alilolishika likifunika sehemu zake za siri.
Hata hivyo kuna uwezekano mkubwa alikuwa amevaa boxer.
Nusu wameona ni sawa na nusu wengine wameona Flavour amezingua.
“There are many ways u can take a sexy pic aside dis shit. u are
an entertainer doesn’t mean u should lose ur senses or throw caution to d
wind. real men snap pics wit there kids,fiancees or frnds. u are
popular alredy so u dont need 2 display dis childishness. iimagine ur
kids seeing dis pic in future? hw wil dey feel? ur guess is a gud as
mine. God has blessed u,go make a foundation and bless others too
instead of fooling urself on social media tinkin u are impressing us.
dis pic is a disgrace to grown ass men like us,” ameandika shabiki mmoja.
0 comments: