April 20
2016 imeripotiwa habari ya kuzama kwa gari lililokuwa ndani ya Pantoni
lililokuwa linavuka kuelelekea Kigamboni jijini Dar es salaam, gari hilo
liliserereka kutoka kwenye Pantoni na kuzama baharini ambapo
inasadikiwa ilikuwa na watu kati ya wawili au watatu.
Mnamo
majira ya asubuhi Jeshi la zimamoto na uokoaji lilifanikiwa kuupata
mwili mmoja, mchana wa leo umepatikana mwili mwingine wa Nice Karagwe
ambapo nimefanikiwa kuzinasa hizi picha.
Middle Rush Ads
Middle Rush Ads
Middle Rush Ads
0 comments: