Fundi
Mitambo wa Redio Bomba Fm 104.0 iliyopo Jijini Mbeya Jina lake
Limehifadhiwa alileta tafrani Mchana wa Leo Mara baada ya Kupanda Juu ya
Mtambo wa Redio hiyo Nakutishia kujitupa Chimi kwa Madai ya kuitaji
Kulipwa Pesa zake kutoka kwenye kituo hicho cha Redio kilichopo maeneo
ya Block "T" Jijini Mbeya...
Fundi
Mitambo wa Redio Bomba Fm ambae jinalake limehifadhiwa akiwa juu ya
Mnara wa Redio hiyo huku akisikika kusema "Mpaka Kieleweke Leo nataka
Pesa Zangu..."
PICHA ZOTE NA MR.PENGO MMG MBEYA.
0 comments: