Wakati
chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kikiwa kwenye mkakati wake wa
Operesheni UKUTA (Umoja wa Kupinga Udikteta Tanzania) ambao kilele
chake kimepangwa kuwa September Mosi mwaka huu ambapo wamepanga
kufanyika kwa maandamano nchi nzima.
Leo August 23 2016, msajili wa vyama vya siasa nchini, Jaji Francis Mutungi amekutana na vyombo vya habari na kusema……>>>’Nawasihi
wadau wote wenye mipango ya maandamano, mikutano n.k wangesubiri kwanza
tuzungumze, ninaamini katika jitihada za kuzungumza hatutakwama kupata
ufumbuzi unaostahili au unaotegemewa na wanachi wengi‘
0 comments: