Henry Kilewo Ameandika yafuatayo katika Ukurasa Wake wa Facebook kuhusu
Uchaguzi wa Jana katika Jimbo la Kalenga Ambapo CCM waliibuka Washindi:
"Mapambano yanaendelea,hatujafa moyo,
hatujahuzunika na wala hatutarudi nyuma, safari ndiyo inaanza kuwa na
chachu ya mafanikio huku tukiendelea kuwa imara na kuimarika zaidi...
wanakalenga tutaendelea kuongea na nyie na tunajua maamuzi yaliyofanyika
yalikuwa siyo yenu bali Tume ya Taifa ya uchaguzi iliamua kuucheza
mchezo mchafu pamoja na jeshi la polisi.
Hatujashindwa na kamwe hatutashindwa wala kukubali kushindwa pasipo na mazigira huru
Home
Local News
HENRY KILEWO" WANAKALENGA TUNAJUA MAAMUZI YALIYOFANYIKA SIYO YENU BALI TUME YA UCHAGUZI NA POLISI"
0 comments: