Bonge la harusi inayosubiriwa kwa Hamu
kati ya Kanye West na Mchumba wake wa Muda Mrefu Kim Kardashian
itakayofanyika Mwezi wa Tano Imeanza kuwa Gumzo Baada ya Taarifa kuzagaa
kuwa waalikwa hawataruhusiwa kuingia na Simu za mkononi wala kamera ya
aina yoyote , kuepusha watu kupiga picha ama video na kuzipeleka
mtandaoni kama ilivyokuwa Engagment party yao ambapo mtu mmoja alichukua
video na kuipost Youtube bila ruhusa yao...Taarifa mpya zimekuja na
kusema kuwa Jay z na Beyonce pekee ndio watakao ruhusiwa kuingia na Simu
zao za Mkononi...
Home
Entertainment
WATAKAOHUDHURIA HARUSI YA KIM NA KANYE HAWATARUHUSIWA KUINGIA NA SIMU, JAY Z NA BEYONCE TU RUKSA
0 comments: