Katika pita pita mtandaoni tumekutana na picha hizi za JB a.k.a Bonge la bwana akiwa ameziweka katika akaunti yake ya Instagram na kuonyesha ni jinsi gani anajivunia kuoa na kuwa na mke mzuri kama huyu. Tazama picha hapo chini uone ni jinsi gani jamaa anajiamini na anampenda mke wake na haoni shida kumuweka mtandaoni ili mashabiki zake wamfahamu shemeji na wifi yao.
JE UNAMJUA MKE WA MSANII JB BONGE LA BWANA? BASI MCHEKI HAPA.
published on 21:58:00
leave a reply

0 comments: