Mwanabalozi wa Zimbabwe nchini Nigeria ameitwa akajieleze kwa sababu ya matamshi ya Rais Robert Mugabe kuhusu rushwa.
Mwezi uliopita Rais Mugabe alilalamika kuwa
Wa-Zimbabwe wanaanza kuwa kama Wa-Nigeria - wakitaka jambo lifanyike
inabidi watie mkono mfukoni.Wizara ya mashauri ya nchi za nje ya Nigeria imemwambia balozi wa Zimbabwe, Stanley Kunjeku, kwamba hawakubali shambulio hilo la kuwatusi.
0 comments: