Mtangazaji wa Clouds FM, Loveness Love ukipenda muite DIVA THE
BOSS....ameibuka na kusema hadharani kuwa yeye ni team wemasepetu yaani
ni miongoni mwa mashabiki wa kweli yaan wa kufa na kupoma wa mwanadada
Wema Sepetu....Kauli hii aliitoa kupitia ukurasa wake wa INSTAGRAM ikiwa
ni baada ya wale wanao Mdis (kutoka team nyingine) kuandika kuwa yeye
ni kibaraka wa Wema Sepetu.....na kumponda kuhusu mahusiano yake ya
kimapenzi na mpenzi wake wasasa ambae ni GK na yule mbunge maarufu
hapa nchini aliekuwanae kabla.
SOMA HAPA alichoandika Diva mwenyewe
0 comments: