Muigizaji maarufu wa Hollywood nchini Marekani,
Shailene Woodley,amesema wiki hii kuwa yeye hupenda kula udongo kila
siku ili kuwa na afya bora. Shailene anasema hupima kijiko kimoja cha
udongo na kula kila siku.
Shailene alinukuliwa akisema kuwa “Udongo unampa afya bora mwilini na
anaonekana kama chizi akisema hivyo ila anaamini ni kweli, udongo
unasafisha mwili na kukuweka sawa muda wote”Tabia hii alijifua kutoka kwa dereva mwafrika na aliona wakisafisha udongo kabla ya kitendo cha kuula. Wanasayanci wanameipa jina tabia ya kula udongo kuitwa Geophagy.
Shailene ulimuona kwenye filamu kubwa na star George Clooney iliyoitwa Descendants.
0 comments: