Friday, 9 May 2014

Hizi Post Za Victoria Kimani,Kuhusu Wimbo Na Ommy Dimpoz Na Diamond.

Victoria Kimani kutoka  Chocolate City Records amefanya kazi na wasanii wawili wa bongo fleva kutoka Tanzania ambao ni Ommy Dimpoz na Diamond kwenye rekodi yake inatotajwa kutoka redioni May 14 2014.
Mpaka sasa imefahamika kuwa rekodi hii itaitwa ‘Prokoto’ na kuwa  lugha 2 zimetumika ambazo ni Kiswahili na Kiingereza. Kuhusu maana halisi ya ‘Prokoto’ hili ni neno tu la kutunga, halina maana yoyote.  
v 1 v 2v 4 v 5 v 7


Previous Post
Next Post

post written by:

0 comments: