weka2
Ni vijana wanaofuatiliwa zaidi kwa sasa sababu ya kazi, drama, stori
na maisha yao wanavyo yaendesha. Diamond ametoa shukrani kwa Wema na
Mama yake mzazi kupitia Instagram yake, Soma hapa alichoandika.” They say Behind every Man’s success there is a strong Woman… Now these are my Starrings…without forgetting my all luvyly and Beautiful, Aunties and sisters #LuvlyMum#LuvlyBaby (Wanasemaga katika kila Mafanikio ya mwanaume basi kuna mwanamke imara yuko nyuma… Hawa sasa ndio Mastarring wangu, wakishirikiana na ma dada zangu, Aunties, na mawifi pia lol! #LuvlyMum#LuvlyBaby “
0 comments: