Siku
chache zilizopita mtu wangu wa nguvu nilikuwekea video ya mwanamuziki
Davido akimfundisha mwanasoka wa Samuel Eto’o kucheza wimbo wake wa
‘Skelewu’ – leo hii nimepata video nyingine ya Davido akimfundisha
mwanasoka wa Togo na klabu ya Tottenham Emmanuel Adebayor kuucheza wimbo
wake mpya unaofanya vizuri wa Aye.
Tazama video hapa
0 comments: