Wengi imewashangaza kuona kuwa wawili hawa
wanapata muda wa kukaa pamoja na kufanya vitu romantic kama kwenda
Vacation, kuutokana na picha hizi zilizokuwa released hivi karibuni na
magazeti ya udaku nchini Marekani...Picha hizi zimewaonyesha wawili hao
walikuwa wakifanya hivyo (Picha hizi zilipigwa mwaka 2012).
LIKE HAPA https://www.facebook.com/ShaddyClassic
Tofauti na Jay Z na Beyonce ambao mara kwa mara wamekuwa wakienda
vacation ..kwa upande wa Kanye and Kim mara nyingi wamekuwa mitaani na
mapaparazi huwapicha picha...
Wengi wanaamini kuwa Kanye anaonekana kuwa sio mtu wakupenda vitu kama
Vacations..Anaonekana yuko VERY SERIOUS.....Jionee picha hizo!!
0 comments: