Mama huyu bila aibu alikuwa akimuamini kijana huyo mdogo sawa na mwanae
kiasi cha kumruhusu kumpiga picha utupu. Kitendo hicho kimeonekana sana
kuwakera watu wengi waliokuwa wanamuamini sana mtumishi huyu serikalini.
Picha hizo mbaya ziliuja weekend iliyopita mjini Conakry nchini
Guinea.seikali ya nchi hiyo imemuandikia barua ya kumsimamisha kazi na
inaandaa hati ya kumpeleka mahakmani kwa kukiuka kiapo cha utii na
uadlifu wa kazi..
Mheshimiwa mmoja mwanamke mkubwa serikalini aumbuka baada ya picha za utupu alizopigwa na serengeti boy wake kuvuja mtandaoni
published on 23:54:00
leave a reply
0 comments: