MMH
jamani ndiyo nini kuninunia kwa kusema ukweli? Siku zote dawa ya jipu
ni kulitumbua kwani ukilionea huruma utamuongezea maumivu mgonjwa.
Nataka
kukwambia kitu kimoja kwamba chuki nichukie roho yangu niachie, wee
sema wee na upige mayowe lakini ukweli utabaki palepale, kaniki haiwezi
kubadilika rangi na kuwa nyeupe, ujumbe umefika au siyo?
Natamani
kucheka kwa jicho unalonikata na huku ukijisemea moyoni mwako kuwa siku
ukinitia mikononi utanipasha nipashike, wapiiii, wan’kula huu na hasara
juu.
Hivi
wee mung’unya jeuri ya kutaka kunipasha umeipata wapi? Kwa taarifa yako
tu, hicho ni kiburi cha nazi kutaka kushindana na jiwe.
Jamani
leo nataka nizungumzie raha ya kusafiri, siku zote, wanaume kwa
wanawake wanapenda kusafiri usiku, tena kukiwa na giza totoro, kweli si
kweli?
Basi nawaambia raha ya safari ni mchana au hata kama ni usiku mwangaza uwepo babuuu…shurti mtu upate fursa ya kuona kule uendako.
Basi nawaambia raha ya safari ni mchana au hata kama ni usiku mwangaza uwepo babuuu…shurti mtu upate fursa ya kuona kule uendako.
Utaujua mji, utaona mandhari yake na kufaidi kuliko kusafiri usiku au kukiwa na giza.
Ndiyo, watu wanalipenda giza hawajui kuwa giza ni la mwizi, maana hata kama kuna taa wanazima na kuamua kusafiri gizani mpaka wanafika mwisho.
Ndiyo, watu wanalipenda giza hawajui kuwa giza ni la mwizi, maana hata kama kuna taa wanazima na kuamua kusafiri gizani mpaka wanafika mwisho.
Jamani
hakuna raha katika safari ya giza hata kidogo, kwani ukisafiri kweupe
utaiona safari mwanzo hadi mwisho pia, mtu unapata fursa ya kuujua mji
vizuri.
Umenielewa
au nimekuacha umelewa? Kama haitoshi nataka nikwambie kwamba utamu wa
chakula ukione kwa macho yako kikiwa kwenye sahani safi.
Hapo
hata kijiko cha kulia nacho ukikishika kinatulia mkononi. Utayaona
maandalizi yaliyofanywa mezani na kukufanya uwe na hamu ya chakula
ambacho machoni kitaonekana kuwa ni kitamu na kitakupa hamu ya kula,
bado upo?
Hata
ukila chakula huku unakiona ukisindikizwa na chombezo la maneno matamu
hakika hutachoka kukitafuna kwa madaha huku utamu ukinoga na chenyewe
kikikata kona katika mwili wako.
Eeeeeeeeeehe! Acha nisema miye kwani nisiposema leo nitasema lini? Unadhani nitasema nikiwa ndani ya kaburi?
Eeeeeeeeeehe! Acha nisema miye kwani nisiposema leo nitasema lini? Unadhani nitasema nikiwa ndani ya kaburi?
Kawaida
ya wanawake huwa tuna milio yetu wakati wa safari, huwa tunahema kwa
mihemo yenye kuongeza mahanjamu pale safari inapokolea.
Jamani kuhema au kuzungumza kwa raha hutuongezea raha na kutufanya tuione safari kuwa ni fupi hata kama ni ndefu.
Umeshanipata ninaposema kusafiri kweupe kuna raha yake? Kama hujanipata baki na ubozi wako.
Wanawake tumeshazoea kuzungumza tukiwa safarini lakini wengine tuna aibu utatujua kwamba tunafurahia safari kwa kututazama katika midomo au kwenye macho yetu.
Wanawake tumeshazoea kuzungumza tukiwa safarini lakini wengine tuna aibu utatujua kwamba tunafurahia safari kwa kututazama katika midomo au kwenye macho yetu.
Safari
ikikolea utatuona tunajilamba midomo ujue hapo raha iko chini na utamu
uko juu, hapo jicho hupoteza kiini chake kile cheusi, mwanaume akiwa na
moyo mwepesi atajua mtoto wa watu anataka kukata roho, kumbe mwenzako
hadithi imekolea na raha zimeshinda kibaba.
Nia
kubwa ya kuyasema maneno haya, kuna mtu alikuwa akisafiri na mpenzi
wake gizani, jamani kumbe mpenzi wake alikuwa na pumu, kwa vile si
muongeaji alikuwa akiogopa kusema kama alikuwa anaumia.
Mwishowe binti akazidiwa, jamaa bila kujua kama binti alikuwa amepoteza fahamu muda mrefu, alikuwa akiendelea na muziki wake.
Laiti kama wangekuwa wanasafiri kweupe mwanaume angejua mwenzake alikuwa katika hali gani.
Pia, mwanaume anapokuwa akicharaza gitaa lake akiona mnenguaji wake anakwenda ndivyo sivyo si atasimamisha muziki ili amuulize mnenguaji wake inakuwaje muziki umeshafika kwenye sebene halafu anashindwa kuchanganya?

Hapa
mwanamke anaweza kusema kuwa kasi ya gitaa inampa matatizo, hivyo
akakutaka upige muziki wako taratibu lakini kama mko gizani huwezi kujua
mwenzako anafurahiaje au anaumiaje.
Tusipende
kula vyakula vyetu gizani, raha ya kula ule ukiwa unakiona chakula na
unamuona mwenzako kakaaje, ananenguaje, anafurahiaje tena hutaweza hata
kumchezea rafu na kumuumiza.
Raha ya safari msafiri kukiwa kweupe ili ujue mandhari ya mji, upo? Kama haupo kalagabhao.
Raha ya safari msafiri kukiwa kweupe ili ujue mandhari ya mji, upo? Kama haupo kalagabhao.
0 comments: