Kuna aina nyingi
sana za vinywaji ambavyo inaaaminika kuwa vinaamsha nguvu za kiume na kumfanya
mwanaume kuweza kumudu kufanya tendo la ndoa kwa muda mrefu bila kuchoka wala
uume kulala yaani ni hatari tupu. Miongoni mwa vinywaji vilivyozoeleka ni
pamoja na kahawa,achilia mbali supu ya pweza ambayo inafahamika zaidi.
AMARULA ni Kinywaji
ambacho hata kitaalamu kimethibitika kuwa kinachochea uume kuwa imara na wenye
nguvu kiasi cha kumudu kuweza hata kupiga goli moja kwa zaidi ya nusu saa bila
kukojoa, hiki ni kinywaji ambacho ni jamii ya mvinyo lakini kinautofauti kidogo
kutokana na viambatanishi vilivyotumika kutengeneza huwa na tabia ya
kuchangamsha isivyokawaida hivyo kusaidia sana wanaume wanaotaka kufanya ngono
na wapenzi wao hasa pale wakiwa wamechoka.
0 comments: