Thursday, 22 May 2014

WANAUME MPOO? FAHAMU TIBA MBADALA YA NGUVU ZA KIUME AMBAYO HAINA MADHARA KABISAA.


Matatizo ya upungufu wa nguvu za kiume ni moja kati ya tatizo sugu linalowasumbua wanaume wengi sana na hata kufanya wanaume hawa wasifurahie mapenzi na hata tendo la ndoa. Tatizo hili husababishwa sababu lukuki ikiwemo upigaji punyeto uliokithiri,vyakula visivyo na protini ya kutosha kama vile chips na nafaka zilizokobolewa nk.

AYUVERDA ni tiba yenye asili ya kihindi ambayo inasaidia sana katika kurefusha,kunenepesha na kuupa nguvu uume na mwili kwa ujumla,tiba hii huangalia mambo muhimu kama ulaji,usafi wa mwili,ufanyaji wa mazoezi,afya ya akili,tabia za kiroho nk.

Tiba hii ni maarufu sana kwani ilianza kutumika miaka elfu tano iliyopita na hakuna madhara yoyote yaliyowahi kuripotiwa juu ya tiba hii kwani ni salama na haina madhara yoyote.

Previous Post
Next Post

post written by:

0 comments: