Wednesday, 21 May 2014

KUTANA NA KAHABA MZEE ZAIDI UINGEREZA 'BRITAIN'S OLDEST PROSTITUTE' …ANA MIAKA 85.... ADAI BADO ANA MVUTO!!

Huyu si mwingine bali ni Sheila Vogel-Coupe, miaka 85 raia wa Uingeraza, alianza kazi ya ukahaba toka enzi za ujana wake na kazi zake anazifanyia kwenye mahoteli  na nyumbani (Kisheria lakini) na mpaka sasa anafanya kazi hiyo kwa kiasi cha euro £250 kwa saa  zaidi ya shikingi laki sita za kibongo.... HATARI SANA...ENDELEA
SHUKA CHINI KUTOA MAONI YAKO
Previous Post
Next Post

post written by:

0 comments: