Hodari wa kutupia picha zenye utata katika mitandao ya kijamii na kujikuta anajipatia umaarufu mkubwa kwa tabia hiyo yakuachia umbo lake matata hadharani Agness Gerard aka Masogange au mama wa Mibegi.
Ameibuka tena kwa kutupia picha ambayo haina maadili ya kitanzania
katika mtandao wa kijamii Istagram, picha hiyo ikimuonesha mwanadada
huyo akiwa amevalia kiguo ambacho kimemuweka wazi sehemu kubwa ya mwili
wake ikiwemo mapaja, kitovu, mgogo na kiuno.
0 comments: