Tuesday, 6 May 2014

Msanii Aliyewahi Kusema Yeye Ni BIKRA Na Aliyeingia Katika Shutuma Za Kusagana Na Mwanamke Mwenzake, Avalishwa Pete Ya Uchumba, Tazama picha

Iliwahi kuripotiwa hapo awali kuwa Diana Kimario anajihusisha na maswala ya usagaji, na kabla ya hapo aliwahi kutamka mwenyewe kuwa hajawahi kufanya mapenzi na mwanamme yeyote tangu azaliwe, vile vile Diana aliwahi kunukuliwa akisema kuwa "Kamwe siwezi kumvulia ch*pi mwanaume aliyetembea na Lulu Michael ambaye ni shoga yake kipenzi"  Jana kupitia mtandao wa instagram Diana aliachia picha akivalishwa pete, Haijulikani kama ndiyo kweli amevalishwa au ni maigizo yao

Previous Post
Next Post

post written by:

0 comments: