Tuesday, 6 May 2014

Baada Ya Kugombana Na Kajala Masanja, Huyu Ndiyo Shosti Mpya Wa Wema Sepetu, Pika Na Pakua..!!

Maneno yalikuwa yanasemwa mtaani na baadae ikajulikana kuwa ni kweli Kajala na Wema hivi sasa wapo katika ugomvi mkubwa tu, jambo ambalo Kajala mwenyewe alifunguka kuwa, Ndio tunaugomvi kama walivyo marafiki wa kawaida kugombana, ila muda ukifika tutayamaliza”, hiyo ndio kauli ya kajala toka akiri kuwepo kwa ugomvi huo, huku kwa upande wa Wema mambo yako hivi;

Thank you ma love for zawadi… hapa meno sasa kuoza ni lazima… I loooove looooove loooooove you… Raha ya
Previous Post
Next Post

post written by:

0 comments: