|
Ray na Chuchu Hans |
Mastaa wa filamu nchini Vicent Kigosi "Ray" na Chuchu Hans
wamevalishana pete ya uchumba hivi karibuni kwa mujibu wa habari mpya,
Chuchu anaonekana waziwazi kabisa na pete hiyo. Inadaiwa tukio hilo
lilikuwa siri ili mapaparazi wasijue huku pia mastaa wenzao wengi wakiwa
hawajui.
Miezi ya hivi karibuni mastaa hao wamekuwa wakipamba vichwa vya habri
vya magazeti, blogs, websites na mitandao mingine ya kijamii. Kwa upande
mwingine filamu mpya inayoitwa Too Much aliyoigiza Ray na Chuchu
inatarajiwa kuingia sokoni muda wowote kuanzia sasa.
0 comments: