Hizi ndizo post za mastar hawa.
Cheki walichokiandika mastar kadhaa wa Tanzania baada ya Diamond kutangazwa kushiriki kwenye BET.NA UONE VANNESSA MDEE ALIVYO MKEJELI KWA KUMSAPORT DAVIDO
Hii ni Tanzania ambayo kwa sasa Diamond Platnumz ameamua kutuonyesha kwenye ramani ya Dunia,imekua ni good news kwa Tanzania na afrika mashariki kwa ujumla,baadhi ya mastar wa Tanzania wamekubali kutoa ya moyoni baada ya taarifa hiyo miongoni mwao ni pamoja na Mkubwa Fela,Wema Sepetu,Ay,Belle 9,Vanesa Mdee na wengine kibao.
Hizi ndizo post za mastar hawa.
0 comments: