NI STAA GANI HUYU?
Katika hali isiyokuwa ya kawaida na kushtua staa mmoja wa kike nchini
anaejihusisha na ugizaji wa filamu za kibongo ameachia picha kimitego
mtandai na kuzusha mjadala mzito. Habari za uhaika zilizoifikia mtandao
huu zinasema kuwa picha hii imevujishwa makusudi mtandaoni ili wadau
wapande dau, hata hivyo licha ya mtandao huu kuchunguza kwa kina ili
kumtambua staa huyu lakini mambo yamekuwa magumu kutokana na kuficha uso
wake.
0 comments: