Video: Tazama wimbo ulioimbwa na wachezaji wa Real Madrid kusherehekea ubingwa wa ulaya
Baada ya kushinda taji la 10 la kihistoria la ligi ya mabingwa wa ulaya, timu nzima ya Real Madrid iliingia studio kuimba wa #HalaMadrid. Wimbo huo tayari umetoka utazame hapo chini……
0 comments: