Saturday, 17 May 2014

Watanzania! Mpaka sasa rekodi nyingine ya Diamond BET Awards ni hii. @DiamondPlatnumz



Screen Shot 2014-05-18 at 2.46.51 AMNi siku chache tu zilizopita toka Diamond Platnumz ametangazwa kuwania tuzo za kituo cha Television cha Marekani BET akiwa ni msanii pekee kutoka Afrika Mashariki kuchaguliwa kuwania tuzo hiyo huku wengine wakitoka Nigeria, Ghana na Togo. (Best International Act: Africa )
Good news ni kwamba katika mchakato wa kura sasa hivi Diamond ameshika nafasi ya pili katika list ya Wasanii wote sita ambapo kama Watanzania wataendelea kumpigia kura kwa kasi na kumzungumzia kwenye mitandao ya kijamii basi anaweza kushika nafasi ya kwanza kwa kumpiku alie juu yake ambae kamzidi kwa asilimia 5 tu.
 View ResultsPolldaddy.com
Thank you for voting!
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 

Screen Shot 2014-05-18 at 2.43.52 AM

Nafasi ya pili inashikwa na Mafikizolo wa South Africa wenye asilimia 24.8, ya pili inashikwa na Diamond kwa 19.94 % ya tatu Tiwa Savage wa Nigeria 17.28%, ya nne Davido 16.55%, ya tano ni Sarkodie (Ghana) 12.23 na ya sita Toofan (9%)


Ingia hapa ili kumpigia kura >>> VOTE
Kila kinachonifikia ni halali yako kikufikie mtu wangu, ili niwe nakutumia kila kinachonifikia jiunge na mimi kwenye twitter kwa kubonyeza HAPA, pia facebook na Instagram kwa kubonyeza FB na INSTA
Previous Post
Next Post

post written by:

0 comments: