Home
Entertainment
DIAMOND, WEMA NA AUNT EZEKIEL SAFARINI SOUTH AFRIKA KWENYE TUZO ZA MTV MUSIC AWARDS
DIAMOND, WEMA NA AUNT EZEKIEL SAFARINI SOUTH AFRIKA KWENYE TUZO ZA MTV MUSIC AWARDS
Diamond, Wema na Aunty Ezekiel safarini South Africa kwenye tuzo za MTV Africa Music Awards
Kupitia Instagram yake Diamond ameandika:
"Asante sana @fastjetofficial kwa kunisafirisha mimi, Familia yangu na team yangu nzima kuelekea kwenye Tuzo za MTV Awards Nchini South Africa..
hakika nyinyi ni Mfano Bora.. Kama Hauna Taarifa bado, Kampuni ya Fast
jest sasa imeanzisha huduma mpya ya kutoka Tanzania hadi South Africa... kwa maelezo zaidi follow Account yao Hii @fastjetofficial @fastjetofficial"
All the best Diamond Platnumz
Related Posts
Ugomvi Wa Wema Sepetu Na Kajala Wafika Bungeni.
Wema na Kajala
Ule mgogoro wa mastaa wawili ambao wote ni waigizaji wa filamu nchini
Wema Sepetu na Kajala Masanja umefika kwa waheshimiwa wabunge amba… Continue Reading
Lulu, Jaydee, Ray, Wolper, JB, Uwoya, Diamond Wapendekezwa Kuwania Tuzo Za Watu 2014. NA WENGINE WENGI
KUHUSU TUZO ZA WATU 2014
Tuzo
za watu Tanzania ni tuzo za aina yake, zilizoanzishwa kwa mara ya
kwanza nchini mahsusi kwaajili ya kuwapa mashabiki wa … Continue Reading
PICHA ZINGINE ZA SHOW YA DIAMOND NA OMMY DIMPOZ LONDON, UK
BET Nominee Diamond akipagawisha mashabiki wake wa Uingereza siku ya
Jumamosi May 17, 2014 katika Club ya Malibu chini ya BONGOUK. Diamond … Continue Reading
WADADA WA MJINI JE MNAWEZA VAA NGUO HII ALIYOVAA KIM KARDASHIAN??? HEBU ICHEKI HAPA
wallahi fashion nyingine inipiteee
mwenzangu na mie na wewe jaribukitu saa kumi na mbili jioni
ulaya ulaya tuu
Wenzangu wale wenye m… Continue Reading
Kifo cha Adamu Kuambiana Sumu Yatajwa
KIFO cha ghafla cha mwigizaji na mwongoza filamu za Kibongo, Adam
Philip Kuambiana kimeibua mazito ya kutosha, Uwazi limeshika kitu
mkono… Continue Reading
0 comments: