Check humu ndani katika link inayoonyeshwa kwa kukataliwa kwa Prime Time Promotions kuhusu kumleta msanii David Adedeji Adeleke a.k.a Davido katika Fiesta ya tarehe 18 Oktoba, 2014.
Link hii hapa...
Prime Time wamekataliwa baada ya kuwa Times Promotions & Entertainment (Times Fm) wameshamuwahi Davido tangu tarehe 19.9.2014
0 comments: