Danny Paul Njau, akizungumza na waandishi wa habari Jijini Dar es Salaam Juni 5,2015.
Mshindi wa mchezo wa kubahatisha wa Jay Millions, Danny
Paul Njau (kushoto), akizungumza na waandishi wa habari Jijini Dar es
Salaam Juni 5,2015 kuhusu Kampuni ya Simu ya Vodacom kushindwa kumpa
zawadi yake ya sh.milioni 100 baada ya kushinda mchezo huo.
Kwa habari zaidi tembelea www.habari za jamii.com
0 comments: