Rais
Dkt.John Pombe Magufuli ametua jijini Mwanza akielekea Chato na kutoa
maagizo ya kukamilishwa kwa ukarabati njia ya ndege na kuruhusu barabara
iliyokuwa imefungwa na uongozi wa Mkoa wa Mwanza kwa ajili ya kuzuia
waendesha bodaboda.
Hapo chini kuna ripoti ya dakika tatu ya mambo yote aliyoyafanya Rais Magufuli baada kutua Mwanza
0 comments: