TZ Meets Naija: Ben Pol, VJ Adams & G Nako waja na ‘Ningefanyaje Remix’
Baada ya video ya ‘NINGEFANYAJE’ kuzitawala nafasi za juu kabisa kwenye chati za Top 10 East na Africa Rox za kituo Soundcity TV cha Nigeria pamoja na MTV Base, mfalme wa R&B Tanzania, Ben Pol ametoa Offical Remix ya wimbo huo ikiwa ni collabo yake ya kwanza kufanya na msanii kutoka Nigeria.
Katika ‘NINGEFANYAJE REMIX’, Ben Pol amemshirikisha Vj Adams kutoka Nigeria, ambaye pia ni mtangazaji maarufu wa runinga ya Soundcity, pamoja na rapper wa WEUSI, G-Nako.
0 comments: