April 9 2016 muziki wa dance ulipata msiba baada ya kuondokewa na mkali wa muziki wa dance Tanzania Ndanda Kosovo ambaye amefariki akiwa kwenye matibabu hospitali ya Muhimbili Dar es salaam.
HILI NI JIPYA LINGINE TOKA ZANZIBARSerikali ya Mapinduzi Zanzibar kuanzia
mwezi April mwaka huu, itaanza kulipa pensheni kwa wazee wote wenye umri
wa kuanzia miaka sabini ili kukabiliana na hal…Continue Reading
0 comments: