Picha za uchi zimeonekana kuwa ni moja ya njia za kupata kick kwa wasanii wa nje. Mwanzoni ilionekana picha hizo zinapigwa na mastaa wa kike zaidi kama, Kim, Amber Rose na wengine lakini Usher Raymond amebadilisha huo mtazamo.
Msanii huyo mwenye heshima kubwa duniani, ameshtua mtandao baada ya kupost picha akiwa anaoga nusu utupu. Moja kati ya picha hizo inamuonyesha Usher akiwa mtupu kabisa bila nguo.
0 comments: