Basi la AM linaloanya safari zake katika ya mikoa
ya Arusha,Singida na Mwanza limemgonga
mwendesha baiskeli ambaye jina lake halikuweza
kufahamika mara moja.
Tukio hilo limetokea asubuhi ya leo katika eneo la
Majengo jijini Arusha likihusisha basi hilo lenye
namba za usajili T 588 AUT ambapo mwendesha
Baiskeri huyo ameumia vibaya.
0 comments: