Monday, 28 April 2014

HUKO TWITTER, DIAMOND PLATNUM AMSHUSHUA SHABIKI




Kupitia mtandao wa kijamii wa Twitter, makubwa yamkuta follower mmoja wa msanii marufu hapa Tzee Dangote aka Diamond Platnumz, baada ya Diamond kupost picha yake nzuri tu, huku aki-show off tattoo zake, basi ishu ilikuwa ni pale follower huyo alipo muambia Dangote, “sawa umependeza blo,ila sisi watz hatuchoragi hzo v2″, na Dangote Bila kuchelewesha akamshukia na kumjibu “wamakonde vipi?”, hata ukiwa wewe umeandikiwa hivyo hutakuwa na cha kuongezea hapo cause hizo ni tamaduni za watu, tuache wafanye yao
Previous Post
Next Post

post written by:

0 comments: