HIZI PICHA, BEN POL NDANI YA MAKAO MAKUU YA GARI ZA MERCEDEZ BENZ UJERUMANI
Kwenye matembezi yake ya kusafisha macho Msanii wa Rnb akiwa
Ujerumani kwenye ziara yake alipata nafasi ya kutembelea Makao Makuu ya
Mercedez Benz, gari za kifahari zilizoko kwenye orodha ya gari za
gharama zaidi duniani.
SHUKA CHINI KUTOA MAONI YAKO
0 comments: