Saturday, 10 May 2014

JB Aanza Kushuti Filamu Mpya Zanzibar.

JB akiwa location na wasanii wenzake 
Muigizaji mwenye jina kubwa nchini Jacob Stephen "JB" yupo Zanzibar akishuti filamu yake mpya na wasanii wenzake wengine kupitia kampuni yake ya Jerusalem Films. Kupitia mtandao mmoja wa kijamii JB aliandika "Location zanzibar.usiku huu.pamoja na magwiji Halikuniki na Makombora"
Previous Post
Next Post

post written by:

0 comments: