Saturday, 10 May 2014

Sabby Angel Ala Shavu Nchini Kenya, Kulileta Tanzania Pia.

Sabby Angel
Muigizaji wa filamu anayekuja juu kwa kasi nchini Tanzania Sabby Angel amepata shavu la kufanya kazi na NGO moja nchini kenya ambako pia henda mara kwa mara kutokana na baadhi ya ndugu zake kuwa huko. Sabby pia ambaye ni mwanamuziki hata kabla hajaingia kwenye filamu amesema kuwa bado anaendelea na shughuli zake za sanaa kwani mabosi wake wanampa uhuru wa kutosha kufanya kazi zake za muziki na filamu. Akizungumza na Swahiliworldplanet Sabby ambaye filamu yake mpya ya Moto Wa Radi inatoka wiki ya kwanza ya mwezi wa sita alisema
"I work as a Linkage and Placement Officer in our company AFRICA YOUTH TRUST. which kazi yangu nawaeka vijana 250 kwa mwenzi kwenye kazi.. I help 250 youth to get jobs per month. What we do is An EMPLOYMENT PROGRAM (Ajira kwa Vijana) by our sponsors US AID and DFID UK wa uingereza. Mimi ndio muhusika mwenye kuendesha hiyo project, kama kioo cha jamii nasaidia vijana. na pia hii project niko katika harakati kuanzisha project kama hii yangu binafsi Tanzania"
Previous Post
Next Post

post written by:

0 comments: