Mama wa kiingereza mwenye idadi kubwa zaidi
ya watoto, sasa ni mjamzito kwa mara nyingine tena akitarajia mtoto wa
17. Vile vile bint yake anatarajia mtoto wa pili, familia hiyo imeeleza
leo.
Sue Radford,
mwenye umri wa miaka 39, na ambaye ana watoto wa kiume tisa na mabint
saba, yuko mbioni kuongeza mwingine baada ya kugundua mwezi Machi kuwa
baba watoto kashalenga shabaha.
0 comments: