Wednesday, 21 May 2014

Wabunge wetu utata, lakini huyu utata kweli

Mtupie jicho Mbunge wa Jimbo la Kilwa Kusini kupitia Chama cha Wananchi (CUF), Suleimani Bungala, maarufu kwa jina la “Bwege”. Style yake ya kutoa hoja haina mpinzani.
Previous Post
Next Post

post written by:

0 comments: