Ida Ljungqvist aliyezaliwa September 27, 1981, ni mtanzania mwenye asili ya Sweden aliyekuwa msichana wa kwanza aliyezaliwa barani Afrika kuwahi kuchaguliwa kuwa Playboy Playmate of the Month na Playmate of the Year wa jarida la Playboy.
Ida kwenye jarida la Playboy
Mwaka 2008 alichaguliwa kuwa Playmate of the Month kwa mwezi wa March na mwaka 2009 kuwa Playmate of the Year.
Pia alikuwa Playmate of the Year wa kwanza kuwahi kuelekeza taji lake kwaajili ya kazi za misaada.
Ljungqvist alizaliwa nchini Tanzania, mama yake ni mtanzania na baba yake ni mtu wa Sweden aliyekuwa akifanya kazi na shirika la UNICEF.
Mrembo huyo ana shahada ya fashion na marketing.
Kibaya tu ni kuwa mrembo huyo mwaka 2012 alianzisha uhusiano wa kisagaji na mpenzi wa zamani wa mwanzilishi wa Playboy, Hugh Hefner aitwaye Kristina Shannon.
Ida na Ljungqvist na Kristina Shannon
0 comments: