Producer mwenye kubwa hapa jijini Mbeya katika Green Records GACHI Ametoa maoni baada ya mdada PETRONIA Mfaume kutangaza kutopanda stejini katika show ya Mask Party
GACHI akiwa anatoa maoni Yake katika moja ya magroup ya what's app yanayokutanisha wasanii n.a. watangazaji mbalimbali hapa Mbeya
Hii hapa Chini conservation Yao
[14/03 11:23] Gachi: Kama naanza kuelewa ile kauli ya Micho that day
[14/03 11:23] Gachi: Ila ndugu zanguni sio siri hii industry ya mziki Mby ni ya kinafki kupita maelezo
[14/03 11:43] Gachi: Jay p nipo hapa ndugu yangu
[14/03 11:45] Gachi: Najaribu kutafuta ukweli wa mambo maana kukurupuka hakuta saidia chochote man
[14/03 11:48] +255 654 632 220: Proof first then utupe mchongo cz tumechoshwa na unafki wa wanafki
[14/03 11:56] +255 769 444 981: Mi natoa angalizo kwa mapromota wanaoandaa show ni vyema wakawa wanakubaliana mapema na kufika consesus na wasanii washiriki kabla ya kutumia majina yaokatika matangazo ya show
[14/03 11:59] +255 752 016 962: Kimtazamo tuu ishu ya Gach iwalenge producer wasalit maana kuna ishu ya kubadili bei kwa wandaaj na pia jueni vifaa vya studio ni gharama
[14/03 12:00] +255 752 016 962: Mambo ya kuja studio kusema hizi harakat hakuna mic,mixer,PC wala umeme unaotolewa kwa ajiri ya harakati
[14/03 12:01] +255 718 570 099: Jmn msiufanye mziki ukawa mgumu zaidi.
[14/03 12:02] +255 652 397 748: Mi natoa angalizo kwa mapromota wanaoandaa show ni vyema wakawa wanakubaliana mapema na kufika consesus na wasanii washiriki kabla ya kutumia majina yaokatika matangazo ya show
Hii kitu Samicho nmegombana na watu wengi sana mpaka wakanibatiza jina la Gwajima, zinatumika nguvu nyingi sana katika kuhakikisha mtu unapata mashabiki wa kutosha then inatokea event unakuta jina lako lipo pasipo hata kutaarifiwa thats bullshit sana aisee.
0 comments: