Monday, 14 March 2016

Exclusive:Hakuna siri tena Ay Kaingia WCB

Legendary wa muziki wa Bongo fleva Ambwene Yesaya Maarufu kama AY sasa Imetangazwa Rasmi kuwa yupo chini ya Sallam skin,Ambaye pia ni Meneja wa Msanii Nguli Diamond,Sallam kupitia ukurasa wake wa Instagram amesema Anayo furaha kummenej Msanii mkongwe km AY.Inasemekana Ay amechukua uamuzi huo baada ya Ngoma yake ya ZIGO remix kufanya vizuri Ndani na Nje ya nchi
Previous Post
Next Post

post written by:

0 comments: