Thursday, 17 March 2016

Hawa ndio wasanii 10 wanaongoza kwa mkwanja [PESA] mbeya


waliohusika KATIKA MAONI ni Madeejay,Presenters,Artists, wenyewe pia katika Mbeya movie wapo waliotoa maoni yao akiwemo Subby Mwambigija ambaye anazindua movie yake ya WOTE MAHOJIANO NA MZEE WA CHIMBO
 
1. Samicho Huyu jamaa ndie anayefungua hii list ya wasanii wenye pesa Mbeya anamiliki nyumba zaidi ya moja n.a. za kisasa ndie mmiliki wa studio LUCK MUSIC pia ni muajiriwa wa serikalini
 
 2.hapa imesimama miamba miwili kutoka MAKANTA ambao ndio wamiliki wa MAKANTA lakini pia hawa jamaa ni waajiriwa katika vyuo vikubwa hapa mini 

3.Yuzo One Huyu jamaa anamiliki gari aina ya alteza pia Ana maduka mawili jijini Dar ambaye ameenda show ndani New city pub


4.Doctor Fazi yupo katika nafasi ya tatu Huyu jamaa ni muajiriwa katika kampuni ya tigo lakini pia anashare katika studio ya G2G records inayomolilikiwa n.a. kaka yake pia anabiashara nje ya muajiriwa 


5.Tros Dream Boy Huyu jamaa ni mmiliki wa Tros Classics Wear pale mwanjelwa lakini pia anauza nguo kwa bei ya jumla toka Dar.malawi na Zambia 
 
6.Zax B Mkali wa ngoma ya talaka kashika nafasi ya tano ni mmiliki wa Dox kubwa hapa Mbeya lakini pia anasafirisha nguo toka Mbeya kwenda Dar 
 
7.Sammy Clever Huyu jamaa ni muajiriwa katika kampuni ya Tigo hapa Mbeya pia ni mfanyabiashara hapa mjini Nolessy Mzee wa makavu laivu Mr.Meneja huyu jamaa ni meneja wa Bar kubwa maeneo ya Mwambene pia ni mmiliki ndie anayeshikilia nafasi iyo ya Sita 


 
 8.Huyu jamaa anamiliki bar moja maeneo ya MWAMBENE ambayo imemfanya kushika nafasi hii ya nane na kutoka na mauzo ayouza everyday pale pia moja ya watu wanaoweza kushawishi na wenye msimamo mkali wanaposhika mic


9.Berdon Wiki moja iliyopita baba ake mzazi kastaafu kazi serikalini amempa fungu ambalo limempeleka Dar kwa ajili ya kununua baadhi ya material kwa ajili ya studio
 10Petronia Mfaume Yahya Ndie mdada mwenye muonekano wa kipekee ambaye hivi karibuni alishika headline kwa kutangaza kutoperform katika show ya Mask Party huyu ni meneja msaidizi katika Bar ambaye kaka yake anamiliki pia ni model

.wengi ya wasanii wanaoshikilia hizi rekodi hawategemei mziki peke yake ila kazi nyingne nje ya muziki na wameufanya kama kitu cha ziada
Previous Post
Next Post

post written by:

0 comments: