Baadhi ya wadau wakiangalia video ya Masoso AMABYO NDO ILIKUWA INAZINDULIWA YA MASOSO inayoitwa GREEN CITY katika ukumbi wa kiwila motel |
Msanii DAVY STAR akiwa katika pozi kati usiku wa Masoso |
Mzee wa chimbo akiwa na kijana wa sauti za mtaa Boy kashi ambaye alikuwa MC katika event hiyo |
Msanii Nguli hapa Mbeya FIDELOSSO akiwa na mmoja wa wadau |
Mc BOY KASHI akiwa na TYTUS wa highlands Fm |
Producer ESSEM CREATOR akiwa na mzee wa chimbo |
Masoso mwenyewe akiangalia video yake |
moja ya shabiki akisakata lumba |
Mshabiki number moja wa masoso akiangalia kwa umakini video |
Masoso akiwa na moja ya watu anaofanya nao kazi |
Mkurugenzi wa Kiwila Motel katika pozi |
PICHA YA PAMOJA AFTER SHOW WADAU |
Creator na Masoso katika faragha |
0 comments: