Baada ya Petronia kutangaza kutopanda katika stage ya MASK PARTY itakayofanyika katika ukumbi wa K-MO ,Director Kikunizo Montage ameamua kufunguka kuhusiana na ishu na kuweka wazi baadhi ya mambo ambayo yalikuwa yako chini ya kapeti kuhusiana na msanii mkubwa amabye atapeform katika usiku huo na kufanya show amabayo wengi hawatotegemea na ambayo haijawai fanyika ndani ya jiji la mbeya
Kikunizo Montage Manager & Video Director at Mashada INC Production |
Kikunizo ambaye ndie anayeshikilia rekodi nzuri ya uandaaji show ndani ya jiji la Mbeya amewaondoa mashaka mashabiki wa burudani ndani ya Jiji la mbeya na maeneo jirani kujitokeza kwa wingi ili kushuhudia japo hajataka kuweka wazi ni msanii gani atapanda katika stage
LABDA NIKUKUMBUSHE TU MWAKA 2015 SHOW KUBWA KUWAHI KUFANYIKA MBEYA ILIKUWA NI UZINDUZ WA MOVIE YA DAMN TRICKY!M
Star ndani ya movie ya DAMN TRICKY |
0 comments: