Friday, 18 March 2016

PRESENTER WA MBEYA AJIFANANISHA NA DIAMOND PLATNUMZ

Jina kamili Ashley Athuman ni mtangazaji wa Highlands Fm katika kipindi cha intertainment ni wadada wachache wenye uwezo wa kufanya vipindi kama ivy

Leo ndie ametokelezea katika kipengele cha Pics of da day kwa kuwa na best koti ambalo limevaliwa pia na star Diamond Platnumz

Previous Post
Next Post

post written by:

0 comments: