Mtandao wa Daily Mail umesema kuwa staa huyo wa Purple Rain alikutwa na virusi vya Ukimwi miezi sita iliyopita baada ya hali kuwa mbaya japo aliambukizwa ugonjwa huo miaka ya 90.
Ripoti hiyo imedai kuwa Prince alikataa kutibiwa kwasababu alikuwa anaamini Mungu atamponya.
Vyanzo vya karibu na staa huyo vimedai kuwa alikuwa anajiandaa na kifo chake na alikuwa akitumia dawa za kutuliza maumivu, Polisi wamethibitisha kuwa alikutwa na dawa hizo hata baada ya kifo chake.
Staa huyo amefariki akiwa na umri wa miaka 57.
0 comments: