Trailer ya movie hiyo imetoka rasmi ikiwaonesha waigizaji Parker Sawyers anaecheza kama rais Obama na Tika Sumpter anaecheza kama Michelle wakiigiza jinsi rasi Obama alivyokutana na Michelle na kununua Ice Cream,walivyokiss kwa mara yao ya kwanza na drama zote zilizojiri kwenye mahusiano yao.
Japo rais Obama na mkewe hawajazungumza lolote kuhusu filamu hiyo,ila John Legend amedai kuwa wawili hao wametoa ushirikiano kwenye maandalizi ya filamu hiyo,“We’ve heard from some pretty reliable sources that they are aware of the film,They are excited and they are also a little baffled by its existence.”alisema.Filamu hiyo inatarajiwa kuzinduliwa rasmi mwishoni mwa mwaka huu kwenye tamasha la filamu linalofahamika kama “Sundance Film Festival”, mwaka ambao pia Rais Obama anamaliza muhula wake wa pili kama rais wa Marekani,this means Obama will step down from White House as most loved President in World and firs Black Prisedent of U.S.A.
Rais Obama,mkewe Michelle & their daughters Malia and Sasha.
Main asters kwenye filamu hiyo,Tika Sumpters (left) and Parker Sawyers (Right).
0 comments: